Mbasha ajikita kuiombea amani TZ
Nyota wa muziki wa injili hapa nchini, Emmanuel Mbasha ameiambia eNewz kuwa kutokana na nafasi yake katika sanaa,
anashiriki katika harakati za kuiombea nchi ya Tanzania amani katika kuelekea uchaguzi Mkuu mwishoni mwa mwezi huu.