Asilimia 90 ya vifo hutokana na maralia-PAMCA Rais wa PAMCA tawi la Tanzania, Dk Stephen Magesa Taasisi ya Utafiti na Udhibiti wa Mbu waenezao Malaria Afrika PAMCA imesema kuwa asilimia 90 ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa malaria hutokea barani Afrika. Read more about Asilimia 90 ya vifo hutokana na maralia-PAMCA