Nonini asaidia 'Usingizi' wa yatima
Rapa Nonini kwa kushirikiana na mastaa wenzake kupitia taasisi yao ya hisani ya Entertainment With Fun for Charity, wamefanikiwa kuchangia magodoro kwa kituo cha watoto huko Kayole, kuondoa tatizo lililokuwa linawakabili la kulala chini.