Darasa atoa darasa kwa wasanii wenzake

Nyota wa muziki wa Rap nchini Darasa

Nyota wa muziki wa Rap, Darasa ametoa tathmini yake kuhusiana na suala la wasanii kutumika katika majukwaa ya kisiasa kwa sasa, akiwataka kuwa waangalifu kwa kutokujikita kutazama faida ya sasa ambayo itapoteza maslahi yao katika siku za baadaye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS