Bingwa wa Mabingwa Kick Boxing kufanyika Novemba Bingwa wa Kick Boxing Japhet Kaseba amesema, Ligi ya Bingwa wa Mabingwa katika mchezo huo inatarajiwa kufanyika ndani ya mwezi Novemba kwa kushirikisha wachezaji mbalimbali wa Kick Boxing. Read more about Bingwa wa Mabingwa Kick Boxing kufanyika Novemba