Wasanii wajifunze kuimba LIVEE - Barnaba

Msanii Barnaba amesema kutokana na soko la muziki sasa hivi linavyokwenda, kuna haja kwa msanii kujikita kufanya muziki wa band, na kujifunza kwa wale ambao hawawezi kuimba na live band.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS