Wasanii wanatumia skendo kutoa nyimbo - Wakazi Msanii Wakazi amesema siku hizi wasanii wengi wa Bongo Fleva wanatumia skendo kama njia ya kuteka mawazo ya watu (kiki) pale wanapotaka kutoa wimbo mpya. Read more about Wasanii wanatumia skendo kutoa nyimbo - Wakazi