Dance 100% inarudisha hadhi ya wachezaji - Shetta
Msanii Shetta ambaye pia ni mmoja wa majaji wa mashindano ya Dance100% yaliyofikia finali zake siku ya jumamosi Tarehe 10 oktoba, amesema mashindano hayo yanarudisha hadhi ya wachezaji ambayo walikuwa nayo.