Turudi nyumbani baada ya kupiga kura - Ben Pol
Msanii Ben Pol amewataka watanzania kujitokeza kupiga kura na kuondoka mahali hapo, ili kujiepusha na vurugu ambazo zinaweza zikajitokeza siku ya uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika tarehe 25 oktoba mwaka huu.