Mtu mmoja adaiwa kuwazalisha mwanae na Mjukuu wake
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Joseph Bagule (61) mkazi wa Kilimahewa kata ya maili moja mjini Kibaha, anatuhumiwa kuwafungia watoto yatima ndani na kumuweka kinyumba mjukuu wake wa miaka 16 na mtoto wa dada yake (25) na kuzaa nao watoto.