Mwapachu afuata nyayo za Kingunge, ang'oka CCM
Kada wa siku nyingi wa chama cha Mapinduzi CCM,tangu mwaka 1967, Balozi Juma Mwapachu ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho kutokana na kile alichoeleza kuwa ni CCM kupoteza lengo la kuwa chama cha watu.