Mahujaji wengine wawili wabainika kufariki
Mahujaji wengine wawili kutoka Tanzania ambao walikuwa hawajaoneka toka ajali ya kukanyagana kwa mahujaji ilipotokea Makka nchini Saudia Arabia wametambuliwa kuwa ni miongoni mwa mahujaji waliofariki dunia.