CCM kuwasaidia vijana kiuchumi.
Chama cha Mapinduzi (CCM),kimesema kimeweka miundombinu na mipango thabiti ya kuwasaidia vijana kujikwamua kiuchumi na kufikia malengo waliyojiwekea ikiwa kama watafanikiwa kuingia madarakani na kupunguza matatizo ya vijana.