Muziki biashara unafanya waasisi wasienziwe - Kala Kitendo cha muziki wa sasa kuwa wa kibiashara zaidi, ni moja ya sababu inayopelekea wasanii wengi kutoandika na kuimba nyimbo za kuwaenzi waasisi mbali mbali wa Taifa. Read more about Muziki biashara unafanya waasisi wasienziwe - Kala