Tanzania yakabiliwa na changamoto udhibiti Nyuklia
Wataalam wa shirika la kimataifa la nishati ya atomiki, IAEA, wamesema kuwa kamisheni ya nishati ya atomiki nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto kadhaa katika kujenga chombo cha kudhibiti nyuklia.