Hatua bado zinachukuliwa mauaji ya albino: Manongi
Wakati kamishna wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein akisema watu wenye ulemavu wa ngozi, wana haki ya kuishi huru bila ubaguzi na hofu yoyote, Tanzania imesema inaendelea kuchukua hatua kutokomeza mauaji ya albino.