Ujenzi

Alhamis hii katika kipindi cha UJENZI, Tutakuwa na mbunifu wa kujenga nyumba kwa kutumia mabox, ambaye atatuonesha jinsi ambavyo unaweza ukatumia nyumba hizo kufahamu muonekano wa nyumba yako kabla haijaisha kujengwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS