Eddy Gathegi apata shavu jipya
Star wa filamu Eddy Gathegi mwenye asili ya Kenya, ameendelea kuchana mawimbi kimataifa kwa upande wa uigizaji ambapo hivi karibuni ataanza kuonekana katika tamthilia kubwa ya muendelezo ya The Blacklist, katika awamu yake ya kwanza toleo la 3.