Wizkid azidi kung'ara kuelekea ujio wake Dar

Msanii wa muziki wa kimataifa kutoka Nigeria Wizkid

Msanii wa muziki wa kimataifa kutoka Nigeria, Wizkid anaendelea kutisha na rekodi mbalimbali ikiwepo kutajwa kuwania tuzo maarufu za Headies za huko Nigeria katika vipengele zaidi ya sita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS