Viva aamua kushika nje na ndani
Viva Concious, msanii anayefanya muziki chini ya Defatality Music, ameelezea namna anavyoweza kushika soko la muziki la hapa ndani na lile la kimataifa kwa wakati mmoja, moja ya mkakati ikiwa ni hatua yake ya kuachia rekodi mbili kwa pamoja.