Daktari aelezea kifo cha Dk. Makaidi
Mwenyekiti wa chama cha National League For Democracy (NLD) na Mgombea ubunge wa jimbo la Masasi, Dkt. Emmanuel Makaidi, amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Nyangao, wilaya ya Lindi vijijini mkoani Lindi, kutokana na kuugua shinikizo la damu.