CHAVITA yashusha lawama kwa NEC, kuhusu uchaguzi.
Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimelalamikia tume ya taifa ya uchaguzi kutoa taarifa na maelekezo mbalimbali yanayohusu uchaguzi bila kuwepo kwa wakalimani wakutafsiri maelekezo hayo jambo wanaliona litawawia vigumu wengi wao.