Nyanda za juu kusini kuwa kitovu uzalishaji maziwa
Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi , Dkt.Titus Kamani
Serikali imeahidi kuifanya mikoa ya Nyanda za Juu kusini kuwa kitovu cha uzalishaji maziwa kwani ina mazingira mazuri yanayofaa kwa uzalishaji na ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa.