Waandishi wa habari watakiwa kuzingatia weledi

Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga

Baraza la habari Tanzania (MCT), limewahimiza waandishi wa habari nchini kuweka pembeni hulka zao za kisiasa na kuzingatia ueledi na maadili ya uandishi wa habari hasa kipindi hiki cha uchaguzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS