Uswazi
Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza kuwa mwaka huu kuna uwezekano wa kuwa na mvua za El nino, moja kwa moja Uswazi imefika hadi kwa wakazi wanaoishi mabondeni, ambako athari kubwa za mafuriko hutokea, mengi wamezungumza. Ni Jumapili hii saa 1:00 Usiku