Rose Ndauka ajitosa kwenye muziki rasmi Msanii maarufu wa Bongo Movie Rose Ndauka ameamua kujitosa kwenye muziki wa Bongo Flava na kuanzisha kundi la vijana wenye vipaji litakalosimamiwa na kampuni yake ya Rosie. Read more about Rose Ndauka ajitosa kwenye muziki rasmi