Tume,Polisi watakiwa kutenda haki Uchaguzi Mkuu

Mratibu wa Taifa wa THRDC, Onesmo Olengurumwa

Jeshi la polisi,Tume ya taifa ya uchaguzi NEC na ile ya Zanzibar ZEC, wametakiwa kutumia busara katika kuamua faida na hasara za watu kubaki umbali wa mita 200,kutoka vituo vya kupigia kura ili kuepusha nchi kuingia katika machafuko yasiyo na ulazima

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS