Kampeni za lala salama zatikisa mikoani
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuongoza nchi, atahakikisha anajengwa viwanda mbalimbali nchi nzima.