Kamati ya Taifa Stars yajipanga kufikia malengo Kamati ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, chini ya mwenyekiti Farough Baghoza imekutana hapo jana kwa ajili ya kupanga mikakati pamoja na kuunda kamati ndogondogo. Read more about Kamati ya Taifa Stars yajipanga kufikia malengo