Serikali yatakiwa kupitia upya mfumo wa elimu
Serikali ijayo imetakiwa kupitia upya mfumo wa elimu, kwa kurejesha mchujo kwa wanafunzi wanaofanya vibaya kitaaluma, ili kwenda sambamba na soko la ulimwengu linalohitaji zaidi ushindani na uhakika wa kumiliki uchumi.