Kila shule itakuwa na walimu wa kikapu - Mgunda
Msimamizi wa kituo cha michezo kwa vijana kwa upande wa mchezo wa mpira wa kikapu Bahati Mgunda amesema wanatazamia kuwa na walimu wa mpira wa kikapu katika kila shule za msingi ambazo zitawakilisha katika mashindano ya vijana kati ya miaka 12 na 14.