Ligi kuchezwa katikati ya wiki kupisha Uchaguzi Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kesho, michezo minne kuchezwa katika viwanja tofauti nchini, huku timu 8 zikisaka kupata pointi tatu muhimu. Read more about Ligi kuchezwa katikati ya wiki kupisha Uchaguzi