Homa ya ujio wa Wizkid yapanda
Homa ya ujio wa star wa kimataifa Wizkid kutoka Nigeria ambaye atatumbuiza jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Leaders Club tarehe 31 mwezi huu ikiwa ni siku chache tu kupita baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, inazidi kupanda.