Jkt ni Timu nzuri na tutashinda hapo kesho-Kibaden

Michuano ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea hapo kesho kwa mechi nne kuchezwa ambapo Jkt Ruvu itaikaribisha Mtibwa Sugar Uwanja wa Karume jijini Dar es salaam huku Azam Fc ikiwa ugenini dhidi Ndanda Fc Uwanja wa Nangwanda sijaona.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS