JIBU SWALI NA USHINDE (WIZKID LIVE IN DAR OCT 31)
WIZKID LIVE IN DAR OKTOBA 31
VIGEZO: Jibu swali kwa usahihi na uache namba yako ya simu ili ukishinda iwe rahisi kuwasiliana nawe. Mshindi ni mmoja tu katika hili swali
SWALI: Tueleze kwanini wewe unastahili kupewa tiketi hii?