Ferre Gola kutumbuiza Nai

Staa wa muziki wa dansi kutoka Kongo, Ferre Gola

Staa wa muziki wa dansi kutoka Kongo, Ferre Gola anatarajiwa kufanya onyesho lake la kwanza kabisa huko nchini Kenya tarehe 7 mwezi Novemba mwaka huu ikiwa ni historia kwake kubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS