Barnaba, Chameleone wamalizana High Table
Nyota wa muziki Barnaba Classic aliyepata ugeni mzito wa staa wa muziki Jose Chameleone katika studio yake ya High Table siku ya jana, ameeleza mashabiki wake kuwa ziara hiyo imefungua milango, ikiwa ni matayarisho ya projectz nzito na Chameleone.