Azam Fc wageni wa Ndanda leo,Kibaden na Mtibwa
Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea hii leo kwa mechi nne mupigwa ambapo Ndanda wataikaribisha Azam fc katika uwanja wa Nangwanda sijaona mjini Mtwara huku JKT Ruvu wakiialika Mtibwa Sugar katika uwanja wa karume jijini Dar es salaam.