Ligi wavu ufukweni mkoa yasimama kupisha uchaguzi
Chama cha mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesimamisha michuano ya klabu bingwa ya mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam ili kuweza kupisha uchaguzi mkuu wa nchi utakaofanyika Jumapili ya wiki hii.