Waangalizi wavitaka vyama kukubali matokeo.
Jukwaa la waangalizi kutoka nchi za maziwa makuu ambao pia ni wabunge ICGLR, wamevitaka vyama vya siasa nchini Tanzania kukubaliana na matokeo ya tume ya uchaguzi kama walivyokubaliana na taratibu walizojiwekea.