Nikki: Kampeni zilizidi ushabiki kuliko ubora

Nikki Wa Pilli

Siku hii ya leo ambapo kampeni za vyama vya siasa zinafikia mwisho kuelekea siku ya Uchaguzi Kesho, Msomi, Mchambuzi na Rapa Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi ametoa tathmini ya jumla ya mchakato mzima wa kampeni hizo na kueleza kufurahishwa na kuhamasika kwa watu huku kukiwa na tofauti kubwa kati ya ushindani na ubora wa kampeni hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS