UKAWA walalamikia hujuma katika utoaji matokeo
Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wametoa tamko lao la kupinga matokeo yanayotolewa na tume na kudai mchakato huo umejaa hujuma dhidi yao ikiwa ni pamoja na kukamatwa kwa wataalamu wa IT.