Ligi ya soka Bara kumalizia mzunguko wa tisa kesho
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea hapo kesho kwa kumalizia mzunguko wake wa tisa kwa michezo miwili kupigwa ambapo Azam FC watakaribishwa na JKT Ruvu uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.