LHRC walalamika kukamatwa waangalizi wao uchaguzi
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimelilalamikia jeshi la polisi kwa kuwakamata wafanyakazi wake zaidi ya 40 kwa sababu zisizofahamika na kulitaka jeshi polisi kutoa taarifa ya sababu za kukamatwa kwao.