Dk. Magufuli atangazwa mshindi wa kiti cha urais

Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Tanzania Jaji Damian Lubuva, amemtangaza mgombea urais kupitia chapa cha CCM Dr. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sambamba na mgombea mwenza wake Bi. Samia Suluhu Hassan.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS