Uswazi

Pamoja na watu wengi kuishi uswahilini, lakini .. je? wanajua maana ya uswahilini?. mtu akikwambia uswahilini unaelewa nini..? kutana na waswazi wenyewe wakifafanua maana ya uswahilini.. Tuungane pamoja kuelimishana, ni Jumapili saa 12 kamili jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS