Simba Taifa, Yanga Tabora kesho ligi kuu bara Ligi kuu ya soka Tanzania Bara inaendelea hapo kesho katika mzunguko wake wa 10 kwa michezo minne kuchezwa ambapo Simba itaikaribisha Majimaji ya Songea uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Simba Taifa, Yanga Tabora kesho ligi kuu bara