HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu mikopo elimu ya Juu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa bodi hiyo haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016 na kusema kuwa taarifa hizo si za kweli .