Pawasa ataka Dylan Kerr asiingiliwe kazi yake Mlinzi wa zamani wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Boniface Pawasa,ametaka kocha wa Simba Mwingereza Dylan Kerr apewe muda zaidi wa kukijenga kikosi cha timu hiyo. Read more about Pawasa ataka Dylan Kerr asiingiliwe kazi yake