Sita wapoteza maisha katika ajali ya gari Morogoro Watu 6 wamefariki papohapo baada ya gari waliokuwa wakisafiria aina ya Noah kugongana uso kwa uso na basi la Princes Muro katika eneo la Mikumi, Morogoro. Read more about Sita wapoteza maisha katika ajali ya gari Morogoro